Muonekano kwa nje |
HP 8440P |
Hii ni laptop used kutoka Dubai ikiwa ikiwa haina otfauti kabisa na mali mpya kutoka dukani, ni imara sana kwa matumizi ya kawaida kutokana na kutotengenezwa na plastiki katika sehemu kubwa ya nje. Imetengenezwa kwa madini ya alumium katika sehemu kubwa ya nje na kuifnya iwe imara sana kwa matumizi yote muhimu.
UWEZO WAKE
Processor- Core i5
HDD-500GB
RAM 4GB
BEI: TSHS 650,000/=
TUPO JENGO LA MACHINGA COMPLEX ILALA JIJINI DAR ES SALAAM
MAWASILIANO:+255685474825
KARIBUNI SANA
No comments:
Post a Comment