imehamishiwa facebook |
Tuwaombe radhi kwanza kwa kuwa kimya sana kwa kipindi kirefu, kilichosababisha Riwaya ya SHUJAA ikwame muendelezo wake. Ndugu Mashabiki wetu hivi sasa tumerejea tena kwa nguvu kubwa, tukiwa na riwaya hii mpya kabisa.
Riwaya iliyokuwa hapo awali, hivi sasa itahamishiwa Facebook kwenye ukurasa wetu wa Riwaya Maridhawa.
Huko imeanza upya na itaendelea hadi ilipoishia huku, ukihitaji kuifuatilia unaombwa kwenda kwenye ukurasa wetu huko. Utaweza kuianza upya hadi iliposhia, hujachelewa sana hivi sasa ipo sehemu ya 10.
Vilevile kama utaona ni mbali sana kuweza kusubiri, basi utaletewa kupitia email yako. Ukifanya malipo ya shilingi 5000 tu ya kitanzania, utaipata. Ulipaji utafanyika kupitia:
+255713 776843-HASSAN MAMBOSASA(TIGOPESA)
+255762 219759-HASSAN O MAMBOPSASA(MPESA)
+255788 602793-HASSAN MAMBOSASA(AIRTEL MONEY)
ANGALIZO: UKILIPA HAKIKISHA UNATUMA UJUMBE MFUPI WA MANENO(SMS) KWENDA NAMBA YEYOTE HAPO KUTOA TAARIFA NA PIA UAMBATANISHE NA EMAIL YAKO UWEZE KUTUMIWA HADITHI. MATATIZO YEYOTE YATAKAYOJITOKEZA TAFADHALI UNAOMBWA KUTOA TAARIFA MAPEMA. WALE WA NJE YA NCHI HAKIKISHA UNATOA TAARIFA YENYE BARUAPEPE(EMAIL) YAKO KWENDA MTANDAO WA WHATSAPP NAMBA +255713 776843
KARIBUNI
INGIZO JIPYA |
Pamoja na ukatishwaji wa Riwaya ya SHUJAA, si mwisho wa burudani humu ndani. Bali ni mwanzo wa ujio wa riwaya nyingine mpya kabisa kwa baadhi ya wasomaji. Si nyingine bali ni WAKALA WA GIZA.
Kijana machachari Norbert Kaila akiwa ma mwenzake Moses Gawaza wanakujia ndani ya riwaya hiyo, wanajitoa kwa hali na mali kuweza kumuokoa Mheshimiwa Rais. Pia kuzuia nchi isipinduliwe na Mnadhimu mkuu wa majeshi aliyesaliti kiapo chake.
USIKOSE
No comments:
Post a Comment