Sunday, September 3, 2017

HABARI NJEMA KWA WALE AMBAO HAMKUWAHI KUIMALIZA SHUJAA







Habari za muda huu,

   Hii ni kwa wale wenye simu janja za androiid, riwaya ambayo haikuweza kumalizika kwenye blogu hii . Hivi sasa inapatikana huko hadi mwisho, ni wewe na maamuzi yako ndiyo kunaweza kukuzuia usiweze kuisoma riwaya hii ikiwa unayo simujanja.

    Wale wqliyowahi kuisoma watalipia shilingi 3500 tu waweze kuimalizia hadi mwisho. Wapya mnaweza kuianza bure ili muonje ladha ya unadishi wa Hassan O Mambosasa katika hadithi hiyo iliyojaa visa vya kijasusi na mapenzi yaliyopelekea uadui mkubwa. Utaanza bure tu na baadaye kuilipia riwaya hiyo itokayo kwa mwandishi yuleyule anayevuma na riwaya ya  TENDAGURU. Usikose



Kujipatia app yenye riwaya hii bure kabisa ndani ya playstore, tafadhali fuata link hii>>>> HADITHIAPP

No comments:

Post a Comment