RIWAYA: SHUJAA
MTUNZI: Hassan O Mambosasa
SIMU:+255713776843
+255762219759
WHATSAPP:+255713776843
SHUKRANI ZOTE ANASTAHIKI MWENYEZIMUNGU
MUUMBA WA DUNIA NA VILIVYOMO KWA KUNIPATIA
AFYA NJEMA ILIYONIWEZESHA KUANDIKA RIWAYA
HII KWA MARA NYINGINE
SEHEMU YA THELATHINI!!
Baada ya kutoka katika eneo hilo hakuwa na mahala pengine pa kwenda zaidi ya kwenda kuzunguka katika mtaa mwingine kama mzururaji, alizunguka katika kila mitaa na hatimaye akarudi kule kwenye mtaa aabao alikuwa ameegesha gari lake. Hapo alisaini kitabu kuwa ameshachukua gari na aliamua kuondoka huku akiwa amejipongeza kwa hatua nzuri aliyokuwa amefikia ndani ya siku hiyo tangu aanze kazi yake hiyo
hatari. Uhatari wa kazi hiyo hakuwa ameuona kabisa alichojalia yeye ilikuwa ni kurudi kwa furaha ya mpenzi wake na si vinginevyo, mapenzi huondoa hofu kabisa ya kutetea penzi ndiyo maana Moses hakuwa na hofu kabisa kutetea penzi lake liwe na furaha kwa namna yeyote ile.
_________TIRIRIKA NAYO
ASUBUHI ILIYOFUATA
Gari aina ya Toyota Verossa iliingia ndani ya nyumba ya Mzee Bernard majira hayo ya asubuhi, ilikuwa ni siku ambayo hakuwepo Mzee Bernard wala mkewe nyumbani hapo zaidi ya kubaki Beatrice mwenyewe tu aliyekuwa yupo nyumbani kwasababu ya usalama wake tu na si vinginevyo. Hakuwa ameruhusiwa kwenda shule baada ya kutokea lile tukio la kutaka kushambuliwa kwa risasi kule Mbezi hadi leo hii, asubuhi hiyo alikuwa yupo sebuleni kwao akiangalia luninga.
Gari lililoingia ndani ya nyuma yao lilifika hadi kwenye maegesho likasimama na kisha likazimwa, mlango wa dreva wagari hilo ulifunguliwa na alishuka Andrew akiwa amevaa shati jeupe ambayo ilikuwa imempendeza pamoja na mkufu wa dhahabu ukiwa upo shingoni. Mikononi alikuwa amevaa saa ya dhahabu na chini alikuwa amekaa suruali nyeupe vile pamoja na kiatu cheupe, alikuwa ameshikilia simu ya kisasa kabisa katika mono wake pamoja na funguo za gari baada ya kufnga mlango wa gari.
Alitembea kwa mwendo wa majivuno sana huku akipishana na wafanyakzi wa nyuumba hiyo ambao walimsalimia yeye hakutuhubutu kabisa kutikia salamu zao kutokana na kiburi alichokuwa nacho. Kutokana na kujulikana sana hapo nyumbani kwa kina Beatrice hakuwa na wasiwasi kabisa kwani hata angekutwa na wazazi wake Beatrice bado wasingtemfanya kitu chochote kutokana na ukaribu alionao mama yake kwa familia hiyo, hivyo alikuwa akijiamini kabisa ingawa hakuwa na taarifa ya kutokuwepo kwa mtu yeyote humo ndani ya nyumba hiyo kwa muda huo aliokuwa akiingia.
Alitembea hadi kwenye mlango wa mbele wa nyumba hiyo ambao aliufungua kisha bila wasiwasi wowote kisha akaingia ndani ya nyumba hiyo, alimkuta Beatrice akiwa hana habari na ujio wake kutokana na kuwa makini kabisa na kuitazama Luninga ndani ya muda huo.
"Heloow!" Alitamka kwa furaha hukua kijongea kusogea sebuleni mahali ambapo Beatrice yupo, kutamka kauli hiyo kulimfanya Beatrice amtazame mahala alipokuwepo na akajikuta akibadilika na kuchukia kabisa. Hakutia neno lolote Andrew alipotamka neno hilo, yeye aligeuza macho kwenye luninga hapo sebuleni kama vile alikuwa hamuoni.
"Vipi upo poa wewe?" Andrew aliongea huku akilazimisha kutabsamua maana hakuwa na uhakika angechangamkiwa hiyo salamu yake na Beatrice.
"Hata ukijua haitakusaidia lolote" Beatice alijibu kwa kiburi.
"Hee! Yamekuwa hayo!"
"Andrew sema kilichokuleta ni nini?!"
"Hee! Jamani nikija kukujulia hali kwani vibaya"
"Ukishanijulia hali wewe inakusaidia nini?"
"Napata ahueni ndani ya moyo wangu kwani wewe ndiye nikupendaye tu hivyo afya yako wewe ni ahueni kwangu"
"Umemaliza!"
"Heee! Hivi nimekukosea nini Beatrice jamani?"
"Kosa lako wewe ni kupenda usipoendwa tena unalazimisha upendwe unajua kabisa Moses ndiyo kila kitu kwangu, wewehuna nafasi tena naomba kama huna la maana unawezakwenda"
"Kwahiyo Moses ndiyo anakutia kiburi siyo Beatrice?"
"Jijibu mwenyewe hilo swali"
"Sitokata tamaa wala kukuambia kuhusu hili, Beatrice nifanye nini uamini kama nakupenda"
"Hata uweze kugeuza ulimwenu wote uwe chini wangu siwezi kuwa babu, nimewahiwa na mwenzako kuwa muelewa basi na uondoke"
"Vigumu sana kuelewa suala kama hilo mpaka uwe wangu ndiyo nitaweza kukuelewa"
"(huku akisimama) Heeee! Heeee! Babu weee! Mapnezi hayalazimishwi sikutaki narudia tena sikutaki maana nilipokuambia kistarabu huelewi hadi ukadiriki kunifanyia fujo nyumbani kwa Moses. Tena ukiendela kuleta longolongo zako nitamuita hapa aje akutandike kama siku ie ukome"
"Unasema nini wewe?!"
"Kama ulivyosikia wewe kama una uchungu zaa ukweli ndiyo huo sikupendi na sikutaki hata kukuona maaana kichefuchefu"
"(huku akitoa bastoola kiunoni hadi Beatrcie akaingiwa na uoga alipoiona) Huyu ni rafiki yangu nafikiri atapiganiapenzi laangu hadi nilipate upo hapo"
Andrew alipoongea maneno hayo alimsogelea Beatrice hadi karibu yake na kuanza kumgusa nayo hiyo bastla sehemu za shingoni mwake, aliishusha bastola hiyo hadi kwenye kifua kichanga cha Beatrice huku akitoa tabasamu la kifedhuli. Beatrice alikuwa ni mwenye kutetemeka alioona hali ndiyo hiyo aliyokuwa akiifanya Andrew kwake, alitamani hata Moses angekuwa yupo ndani ya eneo hilo kwa muda huo ambao aliamini kabisa angekweza kuwa msaada kwake lakini ndiyo alikuwa amebaki peke yake tu ndani ya nyumba hiyo na wafanyakazi wote walikuwa wapo nje.
Akiwa bado katabsamu kifedhuli Andrew aliishusha bastola yake kisha hadi chini kidogo ya kifua kichanga cha Beatrice ambaye alikuwa akitetemeka kwa uoga muda huo, aliuchukua mkono mwingine na kushika kiuno laini cha Beatrice lakini alikutana na upinzani kutoka kwa binti huyu asiyepoenda kudhalilishwa na aliupiga mkono lakini alimtishia bastola yake. Jambo hilo lilimuudhi sana Beatrice lakini alipotazama kifaa kile cha moto alijikuta akiingiwa na uoga kabisa, Andrew hakuishia hapo aliushusha mkono wake akashika kalio la Beatrice na hapo ndipo alizidi kumuudhi kabisa na aliupiga mkono kwa nguvu kisha akamsukuma nyuma hakuijali ile bastola aliyoishika.
"Shiiiiiiiii!" Andrew aimuwahi Beatrice kwa kumuwekea bastola mdomoni mwake baada ya Beatrice kutaka kuongea alipomsukuma nyuma, alimsogelea Betrice kwa mara ya pili kisha akalazimisha kunyonyana ndimu ambapo Beatrice alijitoa kwa nguvu sana na akampiga vibao viwili vya nguvu sna kwenye mashavu yake.
"Baradhuli mkubwa wewe unaona kila mwanake wa kumdhalilisha siyo, stupid(pumbavu) and Bastard(na mwanaharamu). Sikupendi na sitokupenda na hata kama ningekuwa na na nia na wewe kwa udhalilishaji wako ndiyo ungenikosa kamwe, mwanaume huna heshima kwa mwanamke!" Beatrice alifoka.
"No Beatrice siyo hivyo"
"Toka nje nimekuambia, huu mwili huna hadhi ya kuugusa wewe ni wa Moses tu. Umenisikia?! Only Moses ninyooshe hiyo bastola yako sasa si umeona ndiyo ya kuja kunidhalilisha siyo tokaaa!"
"Beatrice please"
"Anhaa hutaki siyo ngoja nimpigie simu Daddy nimueleze ujinga wote" Beatrice aliongea huku akichukua simu yake ya mkononi, Andrew alipoona tayari alikuwa ameharibu aliamua kutoka nje ya nyumba hiyo mwenyewe kwani aliona kabisa Beatrcie hakuwana mzaha.
Utata wa Mzee Bernard kuhusu kuguswa na kuchezewa kwa watoto wake alikuwa wakiufahamu mwenyewe sasa kama angeleta ubishi na Beatrice kupiga simu alikuwa akijitafutia matatizo, aliaondoka hadi mahali alipokuwa ameegesha gari lake kisha akaingia ndani ya gari hilo na kutimka mahala hapo kuepusha shari ambayo inaweza kuepukika.
****
NYUMBANI KWA KOMREDI
Kijana aliyekuwa yupo getini katika siku iliypita aliingia ndaniya nyumba akiwa ameongozana na mtu aliyekuwa amejichora sehemu mbalimbali za mwili wake. Mtu huyo alikuwa na nywele ndefu sana pamoja ndefu nyingi sana katika kidevu chake. Alikuwa amevaa miwani nyeusi ya kuzuia jua, juu alikuwa amevaa fulana iliyoacha mikono nje na chini alikuwa amevaa suruali ya kuteleza pamoja na kiatu kikubwa sana cha rangi ya kahawia.
Mtu huyo alikuwa ameletwa na mtu yule aliyekuwa getini ambaye alikuwa akilinda usiku wa jana hadi akafuatwa na Moses, alisogezwa hadi mbele kabisa ya Komredi aliyekuwa amevaa nguo ya kulalia na mkononi mwake akiwa ameshika msokoto wa bngi.
"Mkuu ndiye huyu hapa" Yule jamaa wa getini aliongea.
"Vizuri sana nafikiri umetuletea mtu wa kazi anayetufaa, umesema ndiye aliyetoka gerezani alipoachiwa kienyeji" Komredi aliongea huku akitikisa kichwa chake.
"Ndiyo mkuu ndiye huyu muite Tiger mzee wa kazi" Yule jamaa alimwagia sifa Tiger akiwa yupo mbele ya Komredi.
"Ok tiger toa miwani tuione sura yako na si kuificha" Komredi alimuambia Tiger.
Tiger aliitoa miwani aliyokuwa amevaa usoni kisha akafungua kichywa chake kutoa tabasamu na kupelekea meno ya madini ya fedha aliyokuwa ameyabandika yaonekane vyema, jicho moja lilikuwa na umbo la gololi na kumfanya azidi kutisha kila atazamwapo na mtu wa kawaida. Tiger alikuwa ni chongo jicho moja ambapo alikuwa akitisha sana, kutisha huko kwa kulimfanya Komredi ndiyo zidi kutabasamua kila akimtazama.
"Kweli hata mimi naona hebu tukamjaribu kama anaweza kazi" Komredi aliongea hukua akinyanyuka na wote wakafuatana naye, walielekea katika sehemu yenye vyumba vikiwa vimepangana mstari. Walienda hadi mwisho wa vyumba hivyo ambapo waliingia chini ya ardhi wakatokea katika eneo lenye uwanja wa mapigano, Komerdi alimuamuru Tiger asogee uwanjani ambapo naye alitii kisha akasimama katikati.
Komredi alibonyeza kengele ya mahala hapo na muda huohuo mlango mwingine kabisa mahala hapo ulifunguks, alitoka mtu mwenye mwili mnene sana akaja hadi hapo alipo Tiger akawa anamtazama kwa macho ya chuki huku akinguruma kwa hasira sana.
"Haya Tiger kazi kwako nataka huo mbuyu udonoke niamini kama kweli upo kikazi zaidi" Komredi aliongea na hapohapo lile jitu likaanza kuja kwa kasi kuja kuvaa Tiger, alikuwaa ameinama huku akiwa ametanguliza utosi wako uliokuwa na upara kuja kumvaa Tiger kama vile wafanyavyo wacheza miereka.
Tiger kwa kasi ya ajabu alimkwepa huyo mtu na kabla hata hajapiga hatua moja ya kupitiliza, alimpiga ngumi ya utosi maarufu ya kuzungusha mkono nusu duara. Lile jitu lilianguka hapohapo likatulia tuli kwa ngumi hiyo huku damu zikimtoka puani.
"Bravoooo! Tiger wewe ni mtu wa kazi sasa ngoja nikuonesha maeneo yetu ndani ya ngome hii" Komredi alimsifu sana Tiger kwa kazi aliyokuwa ameifanya ndani ya dakika tu tangu waachiwe wapigane na lile jitu la miraba minne, aliamua kuondoka naye katika eneo hilo la mapigano na akaelekea katika eneo jingine kabisa ambapo kulikuwa kuna vyumba kama mabweni ambapo kulikuwa na wasichana wadogo wakiwa wamevaa nusu utupu.
"Kila kitu ni pesa ndani ya dunia hii, huwa tunachukua watoto yatima tukisema tunawasaidia halafu tunawaweka humu ndani kwa ajili ya biashara" Komerdi aliongea kisha akamuita mmoja wa mabinti hao katika eneo hilo alilokuwa amesimama kwenye mlango wa chumba kimojawapo.
Alipomuita alimfunua sketi ndogo aliyokuwa ameivaa huyo binti na kupelekea maungo yake yaonekane dhahiri, bila aibu alliweka kidole kwenye maungo hayo huku akitabsamua sana.
"Umeona hii bado inadai kabisa unaweza kujaribu" Komredi aliongea kisha akamsukumia Tiger yule msichana, yule msichana hakuwa mwenye wasiwasi kabisa alimsogeleaa Tiger na kumbatia huku akiwa na macho malegevu kabisa.
Tiger alimkamata yule mwanamke na kufungua vishikzo vya suruali yake kisha akamuingilia mbele ya Komredi na yule jamaa bila hata aibu, alipotosheka alimuachia huku akivuta hisia.
"Mali adimu hii" Tiger aliongea huku akitabasamu.
"Kama unavyoona hao wakiletwa tunawapa sembe wanakuwa maalosto ili wasilte pingamizi kwani tutawanyima sembe" Komredi alieleza
Komredi aliondoka moja kwa moja hadi kwenye eneo jingine ambalo lilikuwa na watu waliokuwa wakifunga madawa ya kulevya kwenye makasha maalum kwa ajili ya kusafirisha.
"Hapa tunapaita lab mizigo yote huwa inafungiwa hapa na kuingizwa ndani" Komredi aliongea na Tiger aliishia kutikisa kukubaliana naye.
Walitoka katika eneo hilo na wakaelekea katika eneo jingine kabisa na wakakuta kuna ngozi za binadamua, wanyama, pamoja meno ya tembo na ya faru.
"Kama nilivyokuambia hapo awali kuwa kila kitu ni pesa nafikiri umejionea, ngozi hizi za binadamu sasa hivi tumebadilisha mtindo mpya wa uchunaji kutokana na serikali kuwa na sheria kali sana. Huwa tunavizia maiti akishazikwa kwenye makaburi mbalimbli sisi muda wa usiku huwa tunaenda kufukua na kisha kuichuna ngozi yake, haswa huwa tunawapenda maiti wa kiislamu ambao huzikwa kabla hawajawa na athari zadi kwenye miili yao" Komredi alieleza.
"Ngozi hizi za wanyama ni mchezo wa kitoto tu kati yetu na idara ya maliasili, pesa inazungumza kuliko kiutu chochote inamzidi hata mwanasiasa akiwa jukwaani. Hivyo kuvipata ni kitu rahisi sana" Komredi aliendelea kueleza, baada ya hapo walitoka wote kwa pamoja wakaenda hadi kwenye eneo jingine ambalo kulikuwa na vitabu vingi sana pamoja na mashine ya kuchapa vitabu.
"Kila kitu ni pesa ndani ya dunia hii, hivi ni vitabu ambavyo kutoka kwa waandishi mbalimbali hapa ndani ya Tanzania wasiothamini vipaji vyao, huwa navipiga chapa na kuviuza nje ya nchi huko Ulaya vina soko zuri sana tena kuna wataalam hadi wanvibadili lugha kuendana na mataifa husika ndani ya nchi hizo" Komredi alieleza kama kawaida yake, baada ya hapo walishuka zaidi ndani ya nyumba hiyo wakingia katika kitengo kingine ambapo kulikuwa na watu wakihangaika kutengeneza makava ya santuri(CD) pamoja kuziunda santuri zenyewe.
"Pesa inazalishwa na kila kitu ndani ya dunia hii, hizi ni CD za ngono kutoka kwa wasanii mbalimbali wa filamu wa kike na kiume, wanamitindo, na wengine maarufu ambao hupenda umaarufu kwa njia ya mkato kwa pesa nyingi. Pia wapo warembo wanaokubali kucheza filamu hizi ambapo zikiingia nje na hata mitandaoni wanasema za kutengenezwa siyo zao,website yetu ya kuuuza na kuzisambaza hizi inajulikana inachafua watu kutengeneza video lakini si kweli bali huigiza mwenyewe kwa hela nyingi" Komredi baada ya kumueleza hayo walirudi hadi kule sebuleni walipokuwa hapo awli wakaketi kwenye makochi.
"Nafikiri kila kitu umekiona je upo tayari kuwa kitengo kipi Tiger" Komredi aliuliza.
"Kazi yangu ni kuua tu sijui utaniweka kitengo gani,ninaua watu nilipwe pesa huwa natumika na viongozi maarufu." Tiger aliongea ambapo alimfanya Komredi azidi kutabasamu.
"vizuri section hiyo ipo utapigiwa simu ikipatikana mtu wa kumuua lakini kipindi chote utakuwa ukipokea malipo kama mfanyakazi wa hapa" Komredi aliongea kisha akainuka akapeana mkono na Tiger kwa ajili ya kuagana.
"Tupo pamoja" Tiger alijibu kisha akaondoka baada ya kuingia wanwake waliokuwa wamevaa nusu utupu ambao walikuwa wanakuja kwa ajili ya Komredi.
****
Gari aina ya Toyota altezza ya rangi nyekundu ilionekana ikipiga honi getini kwa kina Moses, mlinzi alifungua geti na gari hiyo iipitiliza moja kwa moja hadi kwenye maegesho ya magari ya nyumba hiyo. Gari hilo lilizimwa ambapo mlango wa gari hilo ulifunguliwa, Annie alishuka kutoka ndani ya gari hilo akiwa amevaa gauni fupi jekundu lililoishia kwenye mapaja na kuyafanya mapaja yake meupe yaliyojaa yaonekane vyema. Alikuwa amebeba mkoba wa kwapani wa rangi nyekundu, miguuni alikuwa amevaa viatu virefu vya rangi nyekundu.
Annie alioshuka alienda moja kwa moja kwenye mlango wa nyumba ya kina na akaminya kengele ya mlangoni, alisubiri baada ya muda ambapo mlango huo ulifunguliwa na Mfanyakazi wa kike.
"Hujambo wewe" Alimjulia hali mfanyakazi huyo
"Sijambo dada shikamoo"
"Marhaba, Moses yupo?"
"Ndiyo yupo chumbani kwake kalala karibu"
"asante"
Annie aliingia ndani ya nyumba hiyo na alipitilizamoja kwa moja hadi chumbani kwa Moses, alifungua mlango akaingia ndani ambapo alikuta chumba kitupu isipokuwa mlango wa bafuni ulikuwa umefungwa kwa nje.
Alivua viatu na akajitupa kitandani kwa Moses kama vile ni chumbani kwake vile, alijilaza akiwa anaamini kabisa kuwa Moses alikuwa yupo bafuni.
*WA KULAZIMISHA PENZI NDANI YA NYUMBA
*MTU NA DADA*
ITAENDELEA!!
MWENYE KUIHITAJI RIWAYA HII HADI MWISHO ANAWEZA KUWASILIANA NA MTUNZI
KUPITIA NAMBA ZAKE HAPO JUU KWA NJIA YA UJUMBE MFUPI TU WA MANENO NA SI
KUPIGA. HUKO UTAIPATA YOTE.
KWA RIWAYA ZAIDI LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK AMBAO NI:
No comments:
Post a Comment