RIWAYA: WAKALA WA GIZA
MTUNZI: HASSAN O MAMBOSASA
SIMU: +255713776843
+255762219759
WHATSAPP: +255713776843
SHUKRANI ZOTE ANASTAHIKI MWENYEZIMUNGU MUUMBA WA ULIMWENGU WOTE KWA KUNIWEZESHA KUANDIKA RIWAYA HII NIKIWA NA AFYA NJEMA
______________+18__________________
SEHEMU YA KUMI NA SABA
"Albert mwana wa Mungu wasalimie huko mbinguni maana ndani ya dakika tatu bomu hili ninaloliweka mbele yako litasambaratisha viungo vyako vyote" Jack Shaw aliongea huku akimuita kwa jina la bandia alilojiita Norbert, wote kwa pamoja walicheka kisha wakaingia kwenye gari wakaondoka kwa umbali wa mitaa takribani mia tatu halafu wakasimama.