KIDUDUMTU |
Chipu ndogo yenye kufanya kazi kama ufunguo wa bomu pamoja na kuwekwa vdeo yenye kuonesha uundwaji wa silaha nzito za kinyuklia. Iilikabidhiwa kwa mtoto wa kongozi wa waaasi wa Jamhuri ya Rhodesia ya kati, ili aipeleke kwa baba yake. Muagiwiwaji anahangaika na kuvuka vikwazo kadhaa kukilinda ila anakuja kukipoteza mikononi mwa Binti wa waziri mku wa Tanzania.
Hakujijua hadi pale alipofika kwa baba yake akiwa hana, anaagizwa akisake na hapo ndipo anakuja kukutana na mwenzake ambaye alidai katumwa kuja kumteka binti wa waziri. Wote kwa pamoja wanaungana na kuweka mikakati, ila mwishowe Kijana wa kiongozi wa waasi anakuja kubaini alifungamana kikazi na KIDUDUMTU.
Ni Norbert Kaila kwa mara nyingine.
Riwaya hii itakujia mnamo mwezi Februari baada ya kuisha kwa riwaya ya SHUJAA kwa wale wenye kuhitaji kusoma bila ya kulipa chochote. Ila wale wenye kuhitaji kuipata kwa haraka kuanzia siku ya leo, mtaipata kwenye inbox zenu ikiwa mtafanya malipo.
Ni shilingi 5000 badala ya 6000 ile iliyokuwa hapo awali ila ikianza kuruka mnamo mwezi february utalipia shilingi 200 kwa kila kipande ambapo kiujumla ni zaidi ya shilingi 5000.
Kulipia tumia namba zifuatazo;
0713 776843(Tigopesa)-Hassan Mambosasa
0762 219759(Mpesa)-Hassan Mambopsasa
Ukishalipa ingia link hii>>>> Riwaya Maridhawa utaingia moja kwa moja uwanja wa message kwenye page hii. Huko tupe taarifa kuwa umelipa na utaje jina au namba za muamala ulizotumia kulipia. Ukihitaji kutumiwa kwenye email yako basi utupatie email pia.
ANGALIZO: Fuata maelekezo yaliyotajwa hapo juu, usije ukalalamika umecheleweshewa kutumiwa. Pia kama hulipi naomba uipite tu hii post, usilete maneno ya shombo kwenye kazi za watu.
No comments:
Post a Comment