Friday, October 17, 2014

MAPANGO YA AMBONI(AMBONI CAVES)

The Amboni Caves are the most extensive
limestone caves in East Africa . They are located
8 km north of Tanga City in Tanzania off the
Tanga-Mombasa road. The caves were formed
about 150 million years ago during the Jurassic
age. It covers an area of 234 km². According to
researchers the area was under water some 20
million years ago. There are altogether ten
caves but only one is used for guided...
 

KISWAHILI(KIMAWASILIANO)
 
MAPANGO YA AMBONI    ni mapango ya chokaa katika Afrika ya mashariki. Yanapatikana kilomita 8 kaskazini mwa mji wa mji wa Tanga pembezoni mwa barabara ya Tanga-Mombasa. Yalijijenga miaka  milioni 150 iliyopita katika  kipindi cha  miaka ya Jurassic. Yanachukua kilomita za eneo 234… Kwa mujibu wa baadhi ya watafiti eneo hilo la mapango lilikuwa chini ya maji  miaka milioni 20 iliyopita. Mapango ya kwa pamoja yapo 10  lakini moja tu ndio linatumiwa kuongoza.

  BEAUTY OF AFRICA,NOT ONLY IN ITS PEOPLE BUT ALSO ITS PLACES

No comments:

Post a Comment